Bollywood Hollywood Masti provides Bollywood News, Hollywood News, Bollywood Articles, Hollywood Articles, Bollywood and Hollywood Pictures, Wallpapers and Photo Gallery
Mwanadada kim kardishian ambae ni model,amechaguliwa mwanamke mwenye booty(matako)makubwa kuliko macelebrity wote, kwa mwaka 2010.survey ilifanywa kupitia internet jinsi watu walivyo vote,na amemtupilia mbali Jennifer lopez,alieshikilia chart hiyo kwa mda mrefu.kuna wengine wana booty kubwa sema hawawekwi kwenye chart. utaona list yao kwa chini.
0 commentaires:
Enregistrer un commentaire